
Abdukiba
Abdukiba alisema hayo kupitia kipindi cha 'Ngaz kwa ngaz' kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana EATV, Abdukiba anasema wapo wasanii wengi wadogo wanajipanga kuona wasanii hao wanatoka kwenye nafasi zao hizo, ambazo zinawapa ushindani na hamasa kikazi.
"Lakini Diamond na Alikiba waamini kwamba wapo watu wanajipanga kuweza kuwatoa kwenye nafasi zao, wapo wengi ambao wanaweza kufanya hivyo nadhani bado hawajafikia muda" alisisitiza Abdukiba