Joh Makini akataa mashindano kwenye muziki

Joh Makini

Rapa Joh Makini ambaye hivi sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Waya' amefunguka na kusema kuwa wao kama Weusi hawashindani na msanii yoyote yule ila wao wanafanya muziki katika kutimiza ndoto zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS