Kilichokwamisha video ya Nandy, hiki hapa Nandy Msanii wa bongo fleva Nandy ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'One day' amefunguka na kusema ameshindwa kufanya video ya wimbo wake huo kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa. Read more about Kilichokwamisha video ya Nandy, hiki hapa