UN kuwa 'bega kwa bega' na Tanzania Rasi Magufuli akifanya mazungumzo na Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemhakikishia Rais John Magufuli wa Tanzania ushirikiano kutoka chombo hicho ikiwemo usaidizi kwenye tatizo la wakimbizi. Read more about UN kuwa 'bega kwa bega' na Tanzania