Kocha wa Liverpool aitega Chelsea
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema wapinzani wao, Chelsea wanategemea kupata ushindi ili kujiwekea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza, watakapokutana na timu ya Liverpool, usiku wa leo uwanja wa Anfield.