Maamuzi ya TFF mechi ya Lipuli Vs Mshikamano

Boniface Wambura - Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza maamuzi kuhusu mechi namba 38 ya ligi daraja la kwanza kati ya Lipuli na Mshikamano FC iliyomalizika kwa vurugu katika uwanja wa Kichangani mkoani Iringa, ikiwa ni pamoja na kumfungia mwamuzi wa mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS