Bibi yake Obama aendelea kupewa ulinzi Obama na Bibi yake miaka kadhaa alipomtembelea nchini Kenya Bibi yake na Rais wa Mstaafu wa Marekani, Barack Obama, Bi, Saraha Obama ataendelea kupewa ulinzi licha ya mjukuu wake kumaliza muhula wa uongozi wake wiki iliyopita. Read more about Bibi yake Obama aendelea kupewa ulinzi