Wasanii tuimbe ukweli na uhalisia - Mkoloni Mkoloni Msanii kutoka kundi la Wagosi wa Kaya maarufu kwa jina la MKOLONI amewasihi wasanii wa sasa kuimba ukweli katika nyimbo zao ili kuelimisha jamii uhalisia wa maisha yaliyopo. Read more about Wasanii tuimbe ukweli na uhalisia - Mkoloni