Muziki umenipa nyumba zaidi ya mbili - Mr. Blue
Rapa Mr Blue ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake 'Mboga' saba aliomshirikisha Alikba amefunguka na kusema muziki wa bongo sasa unalipa ndiyo maana ameweza kuwa na nyumba zaidi ya mbili na sasa anajenga nyumba nyingine Tabata Kinyerezi.