Watanzania tubadili mfumo wa maisha - Dkt. Kahesa
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kinga, Taasisi ya Saratani Ocean Road Jijini Dar es salaam Dr.Crispin Kahesa amesema wananchi wanatakiwa kubadili mfumo wa maisha hasa ulaji wa vyakula na matumizi ya vilevi ili kujikinga na ugonjwa wa saratani.