TAWLA sasa kupambana na ajali za barabarani
CHAMA cha Wanawake Wanasheria Tanzania TAWLA kwa kushirikiana na Asasi za kiraia na mashirika yasiyo kuwa yakiserikali yameunda mtandao wa pamoja kama hatua ya kusaidia juhudi za serikali za kupunguza au kuondoa kabisa ajali za barabarani