Ukiwa na 'Six Pack' unatoka kimuziki - Z Anto

Z Anto

Msanii Z Anto ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva amefunguka na kusema muziki wa bongo fleva sasa hivi ni rahisi sana kwani msanii akiwa na 'Six Pack' harafu akaimba imba tu anatoka kimuziki tofauti na zamani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS