Bugando yafanya uchunguzi wa pua, sikio na koo
Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza imefanya uchunguzi na matibabu ya awali ya sikio, pua na koo bure ikiwa ni maandalizi ya madaktari bingwa wa magonjwa hayo kutoka mataifa mbalimbali duniani kutoa huduma katika hospitali hiyo.

