Wilaya 43 ziko hatarini kukumbwa na njaa
Serikali imesema kuwa nchi ina hifadhi kubwa ya chakula kutokana na mavuno ya msimu uliopita ingawa kuna wilaya 43 zenye upungufu wa chakula kutokana na mavuno yao kuwa chini hali iliyosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.