Watoto waliofariki kwa moto Kigoma wafikia 8 Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwanamvua Hoza Mlindoko. Idadi ya watoto waliofariki dunia kwa kuteketea kwa moto katika kitongoji cha Tandala, Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, imeongezeka na kufikia watoto nane. Read more about Watoto waliofariki kwa moto Kigoma wafikia 8