Miswada sita kujadiliwa mkutano wa nne wa Bunge

Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai.

Mkutano wa nne wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,umeanza hii leo mjini Dodoma, huku miswada sita ukiwemo wa sheria ya upatikanaji wa habari ukitarajiwa kuchukua nafasi kubwa zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS