Dance100% imesheheni burudani kali - Dokii
Nyota wa muziki na filamu, Ummy Wenceslaus maarufu kama ‘Dokii’ amesema ameridhishwa sana na jinsi ambavyo shindano la Dance100% linaibua vipaji vya wasanii wa kucheza nchini na kuongeza kuwa kwa kiwango chao wanafaa kushiriki shughuli za kitaifa