"Msanii kupendeza pia ni dili" - Dogo Janja Msanii Dogo Janja amesema saa hivi ana mpango wa kuweka muonekano wake vizuri kibiashara zaidi, ili aweze kuingiza mkwanja mrefu zaidi ya muziki anaofanya. Read more about "Msanii kupendeza pia ni dili" - Dogo Janja