Stamina adai maelezo zaidi kuhusu hip-hop singeli Stamina Rapa Stamina amemtaka Prof Jay atoe maelezo ya kutosha kutokana na jina la “Hip Hop – Singeli” alilolitumia katika ngoma yake mpya aliyotoa na Sholo Mwamba. Read more about Stamina adai maelezo zaidi kuhusu hip-hop singeli