Polisi Dodoma kuifua Simba SC, Jumamosi hii Kikosi cha Simba Timu ya Simba SC inatarajia kushuka dimbani hapo kesho Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kumenyana na wenyeji Polisi katika mchezo wa kirafiki. Read more about Polisi Dodoma kuifua Simba SC, Jumamosi hii