African Lyon yatamba kuiangusha JKT Ruvu, ligi kuu African Lyon ikipambana na Azam FC, katka mechi ya ligi kuu msimu huu Michuano ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea tena hapo kesho kwa michezo minne kupigwa katika viwanja mbalimbali hapa nchini. Read more about African Lyon yatamba kuiangusha JKT Ruvu, ligi kuu