Wanafunzi 50 wasitisha masomo kwa ujauzito Dodoma Wanafunzi 50 wa shule za msingi na sekondari katika Wilaya ya Dodoma wamebainika kupata ujauzito katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Agosti 2016. Read more about Wanafunzi 50 wasitisha masomo kwa ujauzito Dodoma