Ligi ya vijana ni kichocheo cha timu za taifa. Rais wa TFF Jamal Malinzi Rais wa shirikisho la soka nchini TFF Jamal Emil Malinzi amesema ligi ya taifa vijana ambayo itaanza rasmi msimu huu wa 2016/17 itakua ni kichocheo kikubwa cha kuundwa kwa timu za taifa za vijana. Read more about Ligi ya vijana ni kichocheo cha timu za taifa.