Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Serikali imeiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kutoa taarifa haraka kuhusu malipo hewa ya wastaafu yanayotolewa na mifuko ya hifadhi ya jamii