Rais Magufuli ateua makatibu tawala Rukwa na Mara Rais Dkt. John Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara. Read more about Rais Magufuli ateua makatibu tawala Rukwa na Mara