Darasa la saba washindwa mtihani wa darasa la pili Msimamizi na mshauri wa programu ya Uwezo Prof. Kitila Mkumbo. Utafiti unaonesha kuwa ni asilimia 43 ya watoto wanaomaliza darasa la saba hawawezi kufanya mtihani wa KIingereza wa darasa la pili. Read more about Darasa la saba washindwa mtihani wa darasa la pili