1% ya watoto wanaozaliwa TZ wana matatizo ya moyo

Mtoto aliyefanikiwa kufanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili.

Asilimia moja ya watoto wanaozaliwa nchini wana matatizo ya moyo, ugonjwa ambao unahitaji kufanyiwa matibabu mapema ili kuokoa maisha ya watoto hao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS