'Moyo Mashine' imenifanya niwe mkulima - Ben Pol
Ben Pol amesema kuwa wimbo wake wa Moyo Mashine umempa faida kubwa na kumfanya atimize ndoto yake ya kufanya kazi nyingine nje ya muziki ambapo umemuwezesha kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga, vitungu na hata mahindi.