Mbao FC yazidi kudorora, yapigwa 4 na Mbeya City Mbaye wakipata bao dhidi ya Mbao FC Timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza, imezidi kudorora baada ya leo kukubali kipigo kingine cha mabao 4-1 toka kwa Mbeya City ya jijini Mbeyakatika uwanja wa CCM Kirumba. Read more about Mbao FC yazidi kudorora, yapigwa 4 na Mbeya City