Baadhi ya Wachezaji wa Taifa Stars, kutoka kushoto ni Shomari Kapombe, Aishi Manula na Himid Mao
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imehitimisha mbio zake za kusaka nafasi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Super Eagles ya Nigeria.