BASATA yaridhishwa na kiwango Dance100%
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limesema limeridhishwa na kiwango cha washiriki wa Dance100% ambacho kimeoneshwa leo wakati wa hatua ya nusu fainali katika viwanja vya Don Bosco Osterbay Jijini Dar es salaam.