Wasichana wasiogope kushiriki Dance100% - Witness Msanii Witness Msanii wa Bongo Flava Witness amewataka wasichana kutojiweka kando na mashindano ya Dance100% kwani yana faida nyingi kwa washiriki ikiwemo kujenga afya, kujuana pamoja na kupata ajira. Read more about Wasichana wasiogope kushiriki Dance100% - Witness