Wakimbizi zaidi wa Sudan Kusini waingia DRC
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO imearifu kuwepo kwa wakimbizi wa Sudan Kusini wapatao elfu 20 kwenye eneo lililokuwa awali, jimbo la Mashariki mwa nchi hiyo.