Sijamuimba Siwema wa Nay - Dogo Janja Dogo Janja Msanii Dogo Janja ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'Kidebe' na kuwa gumzo mtaani kutokana na kuwasifia baadhi ya wasanii huku wengine akiwaponda, ambapo ndani yake amemtaja mtu anayeitwa 'Siwema' Read more about Sijamuimba Siwema wa Nay - Dogo Janja