Vijana mil. 115 duniani hawajui kusoma na kuandika. Miaka 50 tangu kuanza maadhimisho ya siku ya kujua kusoma na kuandika duniani, imeelezwa kuwa maendeleo yamefikiwa lakini bado kuna changamoto kwa kila mtu kujua kusoma na kuandika. Read more about Vijana mil. 115 duniani hawajui kusoma na kuandika.