Nyamwela atoa 100% kwa mara ya kwanza Dance100%
Jaji wa mashindano ya Dance100% kwa mara 5 mfulilizo Super Nyamwela leo ametoa alama 100% kwa mara ya kwanza tangu aanze kuwa jaji wa mashindano hayo ,kutokana na uwezo wa kutisha wa kundi la J. Combat Crew kutoka Zanzibar.