Asagwa na mashine ya kokoto hadi kufa
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Dhahir Athuman Kidavashari amesema wamepokea taarifa ya tukio la kifo cha mfanyakazi wa kiwanda cha SIKA kilichopo maeneo ya Rungwe Mkoani Mbeya, kifo ambacho kimesababishwa na mashine yakusagia kokoto.