Wanafunzi wanapikiwa maharage mabovu- Nachuma
Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha Nachuma CUF ameliambia bunge mjini Dodoma kwamba wanafunzi wanaosoma shule za sekondari
za serikali hupewa chakula kisichofaa jambo ambalo ni hatari kwa afya yao na masomo yao kwa ujumla.