Wanawake,walemavu wapewe kipaumbele kusaidiwa

Mwakilishi wa vijana wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto (UNICEF) nchini Kenya Hanna Wanja Maina.

Wito umetolewa wa kuwapa kipaumbele wanawake na walemavu hasa ghasia za kijamii zinapotokea kwa kuwa ndio wanakuawaathirika wakubwa zaidi na majanga hayo ambapo pia jamii nzima inaathirika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS