Van Gaal atimuliwa kazi. Manchester United imemfukuza kocha Mholanzi Louis van Gaal siku mbili baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa Kombe la FA ikiifunga 2-1 Crystal Palace katika fainali. Read more about Van Gaal atimuliwa kazi.