Polisi wakamata tapeli la madini ya bandia
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Wenceslaus Vicent Mtui anayedaiwa kuwa ni tapeli wa madini bandia yenye thamani ya shilingi milioni 90 pamoja na kukutwa na nyara za serikali.