Rufaa ya Azam FC ya pointi tatu yakwama TFF Shirikisho la Soka nchini TFF limeitupilia mbali rufaa ya timu ya Azam FC juu ya kukatwa pointi tatu kwa kumchezesha mchezaji Erasto Nyoni katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City. Read more about Rufaa ya Azam FC ya pointi tatu yakwama TFF