Ndege ya Shirika la Misri yatoweka Ndege ya Shirika la Ndege la Misri iliyokuwa ikitokea Jijini Paris nchini Ufaransa kuja Cairo Misri imetoweka kwenye rada, taarifa za shirika hilo zimesema. Read more about Ndege ya Shirika la Misri yatoweka