Tiketi za treni kuanza kupatikana kielektroniki
Shirika la Reli nchiniTanzania (TRL) linatarajia kuanza kutoa huduma ya uuzaji wa tiketi kwa njia ya Kielektroniki lengo likiwa ni kuwawezesha wananchi kuweza kurahisisha ununuaji wa tiketi hizo na kupunguza usumbufu kwa abiria.