Serikali yatumia 4bn kununulia vifaa tiba
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imesema shilingi bilioni 4,128,000,250 zimetumika kununua vifaa tiba katika hospitali mbalimbali za rufaa nchini ili kufanya maboresho ya hospitali hizo