Kilimo Mseto kuongeza uzalishaji wa chakula
Balozi wa Denmark nchini Tanzania Einar Jensen amesema nchi yake itaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania katika kuhakikisha kuwa kilimo cha mseto kinatumika kuongeza uzalishaji wa chakula cha uhakika hapa nchini.