TFDA kuendelea kukagua vibali vya uingizaji sukari

Afisa Uhusiano wa (TFDA) nchini, Bi. Gaudensia Semwanza

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imesema inaendelea kusimamia vibali vya uingizaji wa sukari ili kuhakikisha sukari inayoingizwa hapa nchini inakidhi viwango na ni bora kwa matumizi ya binadamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS