Serikali yaunga mkono wachimbaji wadogo wa madini Serikali imewaunga mkono wachimbaji wadogo wa madini wa Busiri kwa kuwatafutia maeneo ya uchimbaji wa madini, ambapo Wizara ya Nishati na Madini imetenga eneo lenye ukubwa wa hekta 11,031. Read more about Serikali yaunga mkono wachimbaji wadogo wa madini