Mechi ya Ndanda na Yanga yahamishiwa Taifa Mei 14 Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya wenyeji Ndanda FC na Yanga uliokuwa ufanyike Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara sasa utafanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi. Read more about Mechi ya Ndanda na Yanga yahamishiwa Taifa Mei 14