Timu nyingi katika ligi zinaleta ushindani-Azam FC
Katika kuelekea kufungwa kwa pazia la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara 2015/16, Klabu ya Azam FC imewataka waandaaji wa Ligi kufikiria suala la kuwa na timu nyingi ili timu kucheza mechi nyingi na ligi ichezwe kwa upana.